Mradi wa EASTRIP waongeza Udahili wa Wanafunzi kwa kasi DIT

NA WyEST 

Dar es Salaam

Utekelezaji wa Mradi wa Kujenga Ujuzi na Ushirikiano Afrika Mashariki (EASTRIP) umeiwezesha Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (,DIT)  kuongeza udahili wa wanafunzi kutokana 800 hadi kufikia 1500.

Akizungumza Novemba 13, 2024 Jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya Timu kutoka Benki ya Dunia na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia iliyokuwa ikikagua maendeleo ya Mradi huo, Mratibu wa Mradi Dkt. Joseph Matiku amesema kuwa tangu kuanza kwa mradi huo Mwaka 2018 Taasisi  imeongeza udahili maradufu.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS