WAZIRI MKENDA AZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS BENKI YA DUNIA

#Benki hiyo kuendelea kushirikiana na serikali kutekeleza mageuzi ya elimu

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Novemba 12, 2024 akiwa jijini Kigali nchini Rwanda amekutana na kuzungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Bi Victoria Kwakwa, pamoja na mambo mengine Mkenda ameishukuru Benki hiyo kwa namna inavyoshirikiana na Serikali katika kuboresha sekta ya elimu kwa ujumla wake.

Swahili

WyEST, Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Maendeleo Jamii wamekutana jijini Dar es Salaam kuweka mikakati ya pamoja ya kutangaza shughuli zinazofanywa na Mradi wa ESP

Timu ya Maafisa Mawasiliano wa Serikali kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wizara ya Maendeleo Jamii , Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Ofisi ya Rais -TAMISEMI wamekutana mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam kuweka mikakati ya pamoja ya kutangaza shughuli zinazofanywa na Serikali kupitia Mradi wa Uwezeshaji kipitia Ujuzi ,(ESP)

Swahili

SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU HUCHOCHEA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII

Naibu Katibu Mkuu Elimu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt Charles Mahera amesema Serikali katika Mwaka 2023/2024 na 2024/2025 imetoa takribani Shilingi bilioni 6 kwa ajili ya mafunzo endelevu kazini kwa walimu kazini wa masomo ya Sayansi na Hisabati kwa nia ya kuongeza ujuzi na umahiri kwa Walimu wa masomo hayo.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS