Walimu wakuu zaidi ya 4500 kutoka mikoa saba kupatiwa mafunzo ya Uongozi wa Elimu

Uongozi bora, usimamizi  na uendeshaji wa elimu ulio mzuri una mchango mkubwa katika maendeleo ya shule na elimu kwa ujumla.

Hayo yamesemwa  wilayani Bagamoyo, Mkoa Pwani na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo katika uzinduzi wa kitaifa wa mafunzo ya uongozi na usimamizi wa Shule kwa walimu  wakuu wa Shule za Msingi nchini.

Swahili

Kamati ya Ushauri ya Kisekta EASTC yazinduliwa

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo ameitaka Kamati ya Ushauri wa Kisekta  ya Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kutumia weledi  na uwezo wao katika kuunganisha chuo  na soko la ajira.

Prof. Nombo ametoa rai hiyo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuzindua Kamati hiyo ambapo amesema ushirikiano kati ya soko la ajira na chuo utakuwa chachu ya maendeleo ya elimu na kutoa wahitimu watakaokuwa na mchango kwa Taifa.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS