Mkenda aimwagia sifa Shule ya Masista WA Maria boystown.
Swahili
Tangazo, Fomu ya Maombi na Mwongozo wa Tuzo ya Utafiti kwa watafiti waliochapisha matokeo ya Tafiti zao katika Majarida yenye hadhi ya Juu Kimataifa
Serikali inaendelea na uhamasishaji wa usomaji vitabu katika ngazi mbalimbali za elimu. Katika kutekeleza hilo imejenga maktaba katika vyuo vya ualimu na kuziwekea vitabu na kompyuta.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Lindi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 19 Septemba, 2023.