Chuo cha Ualimu Bustani
Chuo cha Ualimu Bustani kilichopo Kanda ya kati, Kondoa Jijini Dodoma S.L.P. 131 KONDOA. Chuo cha Ualimu Bustani kipo chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
Chuo cha Ualimu Bustani kilichopo Kanda ya kati, Kondoa Jijini Dodoma S.L.P. 131 KONDOA. Chuo cha Ualimu Bustani kipo chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
Chuo cha Ualimu Dakawa kilichopo Kanda ya Mashariki Mkoani Morogoro
Lugha ya Kiswahili ikiwa ni moja ya lugha zinazotambuliwa kimataifa na kupewa siku ya kuadhimishwa, Nchi mbalimbali zimeanza kufundisha lugha hiyo na nyingine kujipanga kuanza kuifundisha ikiwemo nchi ya Brazil.
Hayo yamedhihirika leo jijini Dodoma wakati Balozi wa Tanzania nchini Brazil Mhe. Prof. Balozi Adelardus Kilangi alipokutana na kuzungumza na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda kuhusu utekelezaji wa azma hiyo nchini humo.