RAIS SAMIA akoshwa na kasi ya uboreshaji Vyuo Vikuu vya Umma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Wizara pamoja na Makamu Wakuu wa Vyuo Vikuu vya Umma katika kikao kilichojadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya Elimu ya Juu Nchini.


