Chuo cha Ualimu Mtwara (K)
Chuo cha Ualimu cha Mtwara Kawaida
Swahili
Chuo cha Ualimu cha Mtwara Kawaida
Chuo cha Ualimu cha Monduli - Arusha
Chuo cha Ualimu Mhonda - Morogoro
Chuo cha Ualimu cha Marangu - Kilimanjaro
Chuo cha Ualimu Cha Korogwe - Tanga
Chu cha Ualimu Morogoro (Kigurunyembe)
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo Septemba 10, 2024 ametembelea Chuo cha Ufundi Stadi VETA Kasulu Mkoani Kigoma kuona utekelezaji wa mafunzo ambapo ameridhishwa na maendeleo ya Chuo hicho ambacho mpaka sasa kimepokea wanafunzi zaidi ya 180 wa fani mbalimbali za muda mrefu na mfupi.