Viongozi CCM Wakoshwa na Miundombinu katika Chuo na Shule Maalum Patandi

Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arumeru Bw. Kennedy Mpumilwa ameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa uwekezaji wa miundombinu ya elimu Shule ya Sekondari Patandi Maalum na Chuo cha Ualimu Patandi jijini Arusha.

Bw. Mpumilwa ametoa pongezi hizo Septemba 19, 2024 akizungumza alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya Miaka 30 ya Elimu Jumuishi.

Swahili

Mhe. Mohamed Mchengerwa katika Sherehe za Uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Elimu Jumuishi jijini Arusha

Nimeshuhudia maonesho mbalimbali yakiwemo ya Kitaaluma, Sanaa, Michezo na Ubunifu kutoka kwa vijana wetu. Najivunia zawadi hii ya viatu bora vilivyotengenezwa na Wanafunzi wa Shule Maalum ya Sekondari Patandi.

Amesemaya hayo Mhe. Mohamed Mchengerwa Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) katika Sherehe za Uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Elimu Jumuishi jijini Arusha.

Swahili

TANZANIA INATEKELEZA KWA VITENDO UTOLEWAJI ELIMU JUMUISHI - MHE. MCHENGERWA

Serikali ya Tanzania inatekeleza kwa vitendo mikataba mbalimbali ya Kimataifa na Kikanda inayohusu Elimu Jumuishi na lengo Namba 4 la Malengo Endelevu ya Milenia ya Mwaka 2030 linalosisitiza utoaji wa elimu kwa usawa.

Kauli hiyo imetolewa Septemba 17, 2024 jijini Arusha na Waziri wa Nchi, ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa wakati akifungua Maadhimisho ya Miaka 30 ya Elimu Jumuishi.

Swahili

VIONGOZI CCM WAKOSHWA KATIKA CHUO NA SHULE MAALUM PATANDI

Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arumeru Bw. Kennedy Mpumilwa ameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa  uwekezaji  wa miundombinu  ya elimu Shule ya Sekondari Patandi Maalum na Chuo cha Ualimu Patandi jijini Arusha.

Bw. Mpumilwa ametoa pongezi hizo Septemba 19, 2024  akizungumza alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya Miaka 30 ya Elimu Jumuishi.

Swahili

Maafisa Elimu Maalum Msingi na Sekondari wakifuatilia mawasilisho katika Maadhimisho ya Miaka 30 ya Elimu Jumuishi

Maafisa Elimu Maalum Msingi na Sekondari na washiriki mbalimbali wakifuatilia mawasilisho kuhusu mada mbalimbali zinazowasilishwa katika Maadhimisho ya Miaka 30 ya Elimu Jumuishi Viwanja vya Shule ya Sekondari Patandi Maalum jijini Arusha.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS