Jamii Yahamasishwa kutumia Wataalam kupata huduma ya Ushauri na Unasihi
Mhadhiri Mwandamizi Shule Kuu ya Elimu, Idara ya Saikolojia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Bernadetha Rushahu ameishauri jamii kupata huduma za ushauri na unasihi kutoka kwa Wataalam wa Saikolojia ili kukabiliana na changamoto ya Afya ya akili inayowakabili Watu wote ikiwemo wenye mahitaji Maalum.

