MKENDA AWATAKA WATANZANIA KUJIVUNIA KWA MAENDELEO YALIYOPATIKANAA KATIKA SEKTA MBALIMBALI NCHINI
Swahili
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameendelea na siku ya pili ya ziara ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Njombe.

Leo Septemba 21, 2024 Prof. Mkenda amezindua wa Kituo cha Afya Makoga katika jimbo la Wanging’ombe kilichojengwa na serikali kwa gharama ya zaidi ya milioni 500