Wanafunzi wafurahia madarasa katika Shule mpya ya Sekondari Msakuzi - Ubungo
Na Mwandishi Wetu
Na Mwandishi Wetu
Sokoine University of Agriculture (SUA)
The Sokoine University of Agriculture, through its Olmontonyi Arusha training center, has purchased a modern "Slidetec mobile sawmll" a log processing machine from Finland. The installation of the machine has been done on March 21, 2023 by involving experts from the Moshi Forest Industry College
Na Habari SUA
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kupitia Kituo chake cha mafunzo cha Olmontonyi Arusha, kimenunua mashine ya kisasa ya kuchakata magogo aina ya "Slidetec mobile sawmll" kutoka Finland. Usimikaji wa mashine hiyo umefanyika tarehe 21 Machi, 2023 kwa kuhusisha wataalamu kutoka Chuo cha Viwandavya Misitu Moshi.
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake Mhe. Japhet Hasunga imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa mabweni ya Chuo cha VETA cha Ualimu wa Ufundi Stadi Morogoro (MVTTC).
Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua mradi huo leo tarehe 19 Machi, 2023, Mhe Hasunga amesema kamati yake imefanya ziara kwenye mradi huo ili kujiridhisha endapo fedha zilizoidhinishwa na Bunge kwa ajili ya ujenzi wa mabweni hayo zimetumika kama ilivyokusudiwa.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda ametoa wito kwa wadau mbalimbali kuunga mkono juhudi za Serikali katika kutoa elimu nchini.
Waziri Mkenda ametoa wito huo jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa huduma ya mkopo wa Elimu inayotolewa na Benki ya NMB.
Amesema kinachofanyika na Benki ya NMB ni kuonyesha njia kwa kuwa pamoja na kuanzisha mkopo wa elimu wamekuwa wakitoa ufadhili wa masomo ambapo kwa mwaka huu wamenufaisha wanafunzi 100.