Elimu ya Msingi na Sekondari
NATIONAL GUIDELINE TO IDENTIFY AND PROMOTE INVENTIONS, INNOVATIONS AND TRADITIONAL KNOWLEDGE PRACTICES
MKENDA AKIWASILISHA HOTUBA YA MAKADIRIO YA BAJETI YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2024/2025
Prof. Carolyne Nombo akihutubia kwenye Kilele cha Wiki ya Ubunifu 28,04,2023
Hitimisho la Maonyesho ya Wiki ya Ubunifu April 2023
Mhe. Prof . Adolf Mkenda - Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojja, akifunga Maonyesho ya Wiki ya Ubunifu 2023 yaliyofanyika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma
Katibu Mkuu- Prof. Carolyne Nombo katika Kilele cha Wiki ya Ubunifu 2023
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Carolyne Nombo katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya Ubunifu kitaifa yaliyofanyika katika Kiwanja cha Jamhuri Jijini Dodoma amesema maadhimisho ya Wiki ya Ubunufu ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita katika kuongeza hamasa ya matumizi ya sayansi na teknolojia na ubunifu kama nyenzo muhimu ya kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Waziri katika Kilele cha Wiki ya Ubunifu 2023
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali imedhamiria kuhakikisha masuala ya sayansi, teknolojia na ubunifu yanachochea kasi maendeleo ya uchumi nchini.
Prof.Mkenda ameyasema hayo leo Aprili 28, 2023 jijini Dodoma katika kilele cha Wiki ya Ubunifu kitaifa ambapo amesema sayansi, teknolojia na ubunifu zina mchango mkubwa wa kuchagiza maendeleo ya kiuchumi na kwamba nchi mbalimbali zimefanikiwa kutokana na kuwekeza kwenye eneo hilo.

