Mradi wa SHULE BORA

SHULE BORA ni mradi wa Serikali unaofadhiliwa na UKAID kwa lengo la kukuza na kuboresha ufundishaji na ujifunzaji ndani ya shule ili kuboresha Elimu na kuhakikisha watoto wote wa Kitanzania wa kike na wa kiume wanapata elimu hiyo bora. Mradi huu unatekelezwa katika mikoa tisa (9) ya Tanzania ambayo ni Katavi, Rukwa, Dodoma, Singida, Mara, Simiyu, Pwani, Tanga na Kigoma. Mkoa wa Singida Manyoni ni miongoni mwa Halmashauri ambazo mradi huu wa SHULE BORA unatekelezwa katika shule mbalimbali.
Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS