Ufafanuzi kuhusu Utekelezaji wa Waraka wa Elimu.
Ufafanuzi kuhusu Utekelezaji wa Waraka wa Elimu NA 01 wa mwaka 2023 na Waraka wa Elimu NA. 02 wa mwaka 2023.
Swahili
Akizungumza katika kikao cha pamoja na Timu hiyo ya Benki ya Dunia Jijini Dar es Salaam kwa njia ya mtandao kutokea Dodoma, Naibu Katibu Mkuu Prof. James Mdoe ameihakikishia Benki ya Dunia kuwa Wizara inaendelea kusimamia kwa karibu utekelezaji wa mradi huo ambao unalenga pamoja mambo mengine kuleta mageuzi makubwa na kuongeza fursa katika elimu ya juu.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo wakitoa maoni

baada ya kupitishwa katika rasimu za mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na ile ya mabadiliko ya Mitaala katika kikao kilichofanyika tarehe 2, Aprili.
