Naibu Waziri Kipanga ataka kuongezwa kasi ujenzi jengo la TAEC -Dar es salaam
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga amemtaka Mkandarasi Group Six International Limited kuongeza kasi ya ujenzi katika mradi wa Maabara, Ofisi na Mtambo wa Kinururisho Jumuishi -Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) Kanda ya Mashariki.
Mhe. Kipanga ametoa agizo hilo jijini Dar es Salaam alipofanya ziara kukagua mradi huo.

Deputy Minister Kipanga wants a massive speed up on a construction of the TAEC building - Dar es Salaam
Deputy Minister of Education, Science and Technology Hon. Omari Kipanga has asked the contractor Group Six International Limited to speed up upon the construction of a Laboratory Project, Office and Integrated Radiation Plant project - Tanzania Atomic Energy Commission (TAEC) Eastern Region.
Hon. Kipanga gave a specific order in Dar es Salaam when he visited to inspect the project.

ICT Project
Summary will appear here
Chuo Cha Ualimu Mamire
Chuo cha Ualimu Mamire
Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Arnautoglu
Miti 250 kupandwa katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kigamboni.
HEADERICON
Sequip yajenga Shule ya Sekondari wilaya ya Mtama, Lindi
Na Mwandishi wetu
Wananchi wa Kijiji cha Chiponda, Kata ya Chiponda Tarafa ya Rondo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mtama mkoani Lindi wamenufaika na Mradi wa Kuimarisha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) kwa kujengewa shule mpya ya Sekondari.


