Prof Mkenda na Balozi wa Japan wateta Ushirikiano Elimu ya Ufundi na Ufadhili wa Masomo

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amekutana na Balozi wa Japan nchini Tanzania Balozi Yasushi Misawa kujadiliana kuhusu ushirikiano katika sekta ya elimu ikiwemo uendelezaji mafunzo Vyuo vya Ufundi ambapo kwa sasa inapewa msukumo mkubwa ili kuwawezesha vijana kupata Ujuzi.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS