Wanafunzi wa shule ya sekondari Lindi wakifurahia upatikanaji wa vitabu vya kutosha shuleni
DKT. Rwezimula ahimiza matumizi ya TEHEMA kwa wakufunzi
Prof. Mkenda aipongeza Taasisi ya WAMA kutoa fursa ya elimu kwa wanaotoka mazingira magumu.
Prof. Carolyne Nombo amekutana na watumishi wa Idara ya Uthibiti Ubora wa Shule
Prof. Nombo amekutana na watumishi wa Idara ya Uthibiti Ubora wa Shule
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo Leo Agosti 22, 2023 Jijini Dodoma, ameendelea na kukutana na Idara mbalimbali za Wizara ambapo amekutana na watumishi wa Idara ya Uthibiti Ubora wa Shule ili kuweka mikakati ya pamoja ya kuimarisha kasi ya kuhudumia wadau.

Prof. Nombo ameitaka Idara hiyo kuandika maandiko ya Miradi ambayo itawezesha Idara kutatua changamoto za rasilimali fedha na kuacha kutegemea fedha kutoka Miradi mingine.
Prof. Mkenda Aipongeza Taasisi ya WAMA kwa kutoa fursa ya Elimu kwa watoto wanaotoka katika Mazingira Magumu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameipongeza Taasisi ya WAMA kwa kutoa fursa ya elimu kwa watoto wanaotoka katika mazingira magumu na yatima kupitia shule ya sekondari ya Wama Nayakama iliyopo wilayani Kibiti Mkoa wa Pwani na WAMA Sharaf iliyopo Mkoani Lindi.
Waziri Mkenda ametoa pongezi hizo alipotembelea shule ya Wama Nakaya Kibiti kuona maendeleo ya elimu kwa shule hiyo ambapo amesema kinachofanywa na Taasisi hiyo ni kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhakikisha elimu bora inatolewa na kwa usawa.
Waziri Mkenda afanya ziara Sekondari ya WAMA SHARAF
WAZIRI MKENDA AFANYA ZIARA SEKONDARI YA WAMA SHARAF
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amefanya ziara latika Shule ya Sekondari ya Wama Sharaf iliyopo mkoani Lindi kujionea hali ya utoaji elimu shuleni hapo.
Akiwa shule hapo waziri mkenda amewaasa wanafunzi kusoma kwa bidi kuwa na maadili kwani ndio msingi wa mafanikio.
Kampasi ya UDSM Kuanza Kujengwa Lindi Desemba
KAMPASI YA UDSM KUANZA KUJENGWA LINDI DESEMBA
# Ni kupitia ufadhili wa mradi wa HEET

