Dkt. Rwezimula aipa kongole VETA Moshi kutoa mafunzo kwa vitendo
Prof. Carolyne Nombo amekutana na watumishi wa Idara na vitengo zilivyo chini ya Ofisi ya Kamishna wa Elimu.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo Leo Agosti 21, 2023 Jijini Dodoma, amekutana na watumishi wa Idara na vitengo zilivyo chini ya Ofisi ya Kamishna wa Elimu.
Waziri Mkenda asema Elimu ni mtaji kwa Taifa kusonga mbele.
Waziri Prof. Mkenda azindua kampeni ya Niache Nisome pangani
Waziri Mkenda asema Elimu ni mtaji kwa Taifa kusonga mbele
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema elimu ndio mtaji na kwamba itabadilisha taifa liweze kusonga mbele.
Waziri Mkenda amesema hayo Mkoani Tanga alipokuwa akizindua Kampeni ya Niache Nisome Pangani Inanitegemea iliyobuniwa na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mhe. Zainabu Abdallah.
Chuo cha Ualimu Kleruu
Chuo cha Ualimu Kleruu Nyanda za Juu Kusini Iringa
Chuo cha Ualimu Kitangali
Chuo cha Ualimu Kitangali kilichopo Kanda ya Kusini, Newala - Mtwara
Chuo cha Ualimu Kinampanda
Chuo cha Ualimu Kinampanda kipo Kanda ya kati Kinampanda - Singida.

