MAWAZIRI KUTOKA NCHI 19 AFRIKA WAKUTANA KUSUKA MIKAKATI MBALIMBALI KUCHOCHEA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA

Mawaziri kutoka nchi 19 barani wameshiriki kikao  Ministerial Roundtable katika Kongamano la 18 la e-Learning Africa 2025 lililoanza Aprili 7, 2025 JNICC jijini Dar es Salaam.

Kikao hicho linalenga kujadili mikakati mbalimbali ikiwemo kuandaa rasilimaliwatu yenye maarifa na  ujuzi pamoja na kuhamasisha  matumizi ya teknolojia za kidijitali katika sekta mbalimbali hususan elimu.

Swahili

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Wadau wajadili utekelezaji Samia Scholarship 360 extended DSP kwa Wanafunzi wa Sayansi

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, pamoja na wadau zikiwemo taasisi zilizo chini yake, wamekutana jijini Dodoma tarehe 26 Aprili kujadili namna ya kuanzisha na kutekeleza Programu ya *Samia Scholarship 360 extended DSP*. Programu ambayo inalenga kutoa ufadhili kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita na kufaulu vizuri katika masomo ya sayansi ili kusomea Shahada ya Kwanza na Shahada ya Uzamili katika fani ya sayansi ya data kwenye vyuo mbalimbali nje ya nchi.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS