MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI KATIKA HAFLA YA TUZO YA UANDISHI BUNIFU
MAANDALIZI YA NYONGEZA YA UFADHILI WA MRADI WA GPE-TSP YAZINGATIA MAZINGIRA JUMUISHI NA MAFUNZO ENDELEVU KWA WALIMU
Tanzania kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatekekeza mradi wa GPE-TSP unaolenga.kuboresha mazingira ya walimu, kutoa mafunzo endelevu kazini kwa walimu pamoja na usimamizi bora wa elimu una thamani ya Sh. Bilioni 226.54.
Zaidi ya Asilimia 70 ya fedha za Mradi wa HEET kujenga Miundombinu ya Elimu ya Juu
Zaidi ya asilimia 70 ya fedha za Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi ya Fedha (HEET) zimeelekezwa katika ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya elimu ya juu nchini.
Akizungumza kwa njia ya mtandao Aprili 2, 2025 katika kikao cha pamoja kati ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na wajumbe kutoka Benki ya Dunia, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Carolyne Nombo amesema kuwa mpaka sasa mikataba ya ujenzi yenye thamani ya dola za Kimarekani zaidi ya milioni 333 imeingiwa na kazi inaendelea.
ELIMU BULLETIN NA. 38
TANZANIA MWENYEJI WA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA eLEARNING AFRICA.
SERIKALI KUENDELEA KUTOA MAFUNZO KWA WALIMU KAZINI.
WALIMU NI NYENZO MUHIMU KATIKA KUJENGA MAADILI, MAARIFA NA UJUZI - DKT. MAHERA
CALL FOR APPLICATION CHINGUITT PRIZE 2025 IN THE ISLAMIC REPUBLIC OF MAURITANIA
1. Call for Application
The General Public is hereby informed that the Islamic Republic of Mauritania is launching the call for applications for the Chinguitt Prize 2025. The Prize rewards each year research works in the fields of Islamic Studies, Science and Technology as well as Literature and Arts. Eligible Tanzanian candidates are strongly encourage to submit their applications for consideration.
2. Notable Dates 2025:
PARTIAL SCHOLARSHIP TENABLE IN VIGNAN FOUNDATON FOR SCIENCE, TECHNOLOGY AND RESEARCH (VFSTR), INDIA FOR THE ACADEMIC YEAR 2025/26
1. Call for Application
Vignan’s Foundation for Science, Technology and Research (VFSTR), India after signing MoU with the Ministry of Education Science and Technology has invited scholarship application for meritorious Tanzanian Students (self-finance or sponsored) to pursue Bachelor or Masters for the academic year 2025/2026.

