TANZANIA NA CANADA ZAIMARISHA MAFUNZO YA UJUZI KWA WANAWAKE NA MABINTI
Swahili
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeeleza kuwa katika mwaka wa fedha 2025/26, itaendelea na utekelezaji wa sera na mitaala, mapitio ya sheria, pamoja na kuandaa miongozo na kutoa mafunzo.
