HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KATIKA KUENDELEZA SAYANSI NA ELIMU WATIWA SAINI KATI YA TANZANIA NA SAUDI ARABIA

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Aprili 13, 2025, nchini Saudi Arabia, imesaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Elimu ya Saudi Arabia katika kuendeleza Sayansi Sayansi Teknolojia na Elimu.



Hati hiyoo wa Makubaliano imesainiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda na Mhe. Yousef bin Abdullah Al-Benyan, Waziri wa Elimu na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya HCDP nchini Saudi Arabia,

Swahili

PROF NOOR APONGEZA TUZO ZA UANDISHI BUNIFU KUANZISHWA TANZANIA

Prof. Ibrahim Noor, Mhadhiri, Mwandishi wa Vitabu na Mchoraji maarufu kutoka Chuo Kikuu cha Sultan Qaboos, Oman, amesema amerudi nyumbani kushuhudia mafanikio ya kazi bunifu za fasihi zinazotekelezwa na Watanzania.



Amewapongeza Watanzania pamoja na familia ya Baba wa Taifa kwa kusherehekea miaka 102 ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mwalimu Julius Nyerere ambae alikuwa Mwandishi mahiri katika fasihi.

Swahili

KONGOLE WIZARA YA ELIMU KWA KUENDELE!A MAGEUZI KATIKA SEKTA- MHE. SIMA

Makamu Mwenyekiti Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Mhe. Musa Sima amepongeza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kuendeleza mageuzi katika Sekta ya Elimu ikiwemo kazi ya kuhimiza na kutambua uandishi Bunifu.



Amesema ubinifu huu unawezesha kutunza urithi wa lugha adhimu ya kiswahili, Utamaduni wa mtanzania lakini pia inachochea ari ya uandishi na usomaji

Swahili

TUKIO LA TUZO YA TAIFA YA MWALIMU NYERERE YA UANDISHI BUNIFU, LIMEANZA

Tukio la Tuzo ya Taifa ya mwalimu Nyerere ya uandishi Bunifu, limeanza na kikao cha awali kilichoongozwa na mgeni maalum, Prof. Ibrahim Noor, ambapo alipata fursa ya kukutana na waandishi wa vitabu kutoka maeneo mbalimbali nchini kwa ajili ya kubadilishana uzoefu na kujadili njia bora za kuboresha sanaa ya uandishi nchini.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS