TUTASHIRIKI
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA AWALI NA MSINGI KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026
1. UTANGULIZI
PROF MKENDA AELEZA MAZITO YALIYOFANYIKA SEKTA YA ELIMU
ELIMU YA AMALI NI MSINGI WA UJUZI – PROF. MKENDA ATOA WITO USANGI, MWANGA
UJENZI WA KITUO CHA KUFUA UMEME KIKULETWA
WAZIRI MKENDA ASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA MZEE SILVIN MONGELLA JIJINI MWANZA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf F. Mkenda (Mb), leo tarehe 7 Juni, 2025, ameshiriki ibada ya mazishi ya kumuaga Marehemu Mzee Silvin Ibenge Emanuel Mongella.

Ibada hiyo imefanyika nyumbani kwa marehemu katika Kijiji cha Kabusungu, Wilaya ya Ilemela, Jijini Mwanza na kuhudhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Balozi Dkt. Emanuel Nchimbi.
SERIKALI YAONGEZA BAJETI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU, WANUFAIKA WAONGEZEKA
Katika kipindi cha miaka minne, bajeti ya mikopo ya elimu imepanda kutoka TZS 464 bilioni (2020/2021) hadi TZS 787 bilioni (2024/2025). Kwa mwaka mpya wa masomo wa 2025/2026, bajeti iliyoidhinishwa imefikia TZS 916.7 bilioni, ikiwa ni ishara ya dhamira ya Serikali ya kuwekeza zaidi katika elimu.
WAZIRI MKENDA ATOA HESHIMA KWA HAYATI MZEE CLEOPA MSUYA - MWANGA, KILIMANJARO
Prof. Mkenda ametembelea familia na kuweka Shada la Maua katika kaburi la aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Alhamisi June 5, 2025 ametembelea familia na kuweka Shada la Maua katika kaburi la aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika Kijiji cha Chomvu Usangi Wilaya ya Mwanga, Mkoani Kilimanjaro.

Katika salamu zake za pole kwa familia, Waziri Mkenda amesema kuwa Hayati Msuya alikuwa kiongozi mahiri na mzalendo kwa Taifa

