Serikali yafanya uwekezaji mkubwa DIT kuzalisha wataalam wa Teknolojia

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amesema Serikali inafanya uwekezaji mkubwa kwenye Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) ili kuhakikisha inatoa wataalamu wengi katika eneo la Teknolojia.

Prof. Nombo amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake katika taasisi hiyo iliyokuwa na lengo la kujionea shughuli zinazoendelea kutekelezwa na kuwapa mwelekeo wa Serikali ambao ni kutoa elimu bora ya Amali na kuimarisha ukuzaji na matumizi Teknolojia.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS