BODI YA MAJI BONDE LA WAMI RUVU YAKABIDHI OFISI KWA JUMUIYA YA WATUMIA MAJI MSOWERO
Undefined
Kuelekea Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, ambayo huadhimishwa kila ifikapo June 5, Bodi ya Maji Bonde la Wami / Ruvu imeelezea kujikita hasa kwenye kuihamasisha Jamii kuhusiana na Suala zima la Utunzaji wa Mazingira Kwenye Vyanzo vya Maji.