Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP)

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – TAMISEMI wanatekeleza Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP). Lengo kuu la mradi huu ni kuhakikisha mazingira ya kufundishia na kujifunzia yanaboreshwa katika shule za Sekondari. Mradi unatarajiwa kutekelezwa katika eneo la Elimu ya Sekondari Kidato cha Kwanza hadi cha Sita kwa kipindi cha miaka mitano (5) kuanzia 2020/2021 hadi 2024/2025.

Swahili

Usajili wa wabunifu wa mashindano ya kitaifa ya sayansi, teknolojia na ubunifu (makisatu) 2022

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inawaalika watanzania wenye ubunifu, ugunduzi na maarifa asilia kushiriki katika Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) kwa mwaka 2022.

Usajili umeanza tarehe 27 Disemba, 2021 na utakamilika tarehe 10 Februari, 2022.  Mashindano hayo yatahusisha makundi saba ya wabunifu ambayo usajili wake unaratibiwa na kusimamiwa na taasisi mbalimbali.

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS