Ministry of Education and Vocational Training

Ministry of Education and Vocational Training
TANGAZO KUHUSU AJIRA MPYA YA WALIMU AWAMU YA PILI 2013
TANGAZO KUHUSU AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI NA VYUO VYA UALIMU AWAMU YA PILI  MWAKA 2012/2013

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inatangaza orodha ya majina ya walimu wa shule za sekondari na vyuo vya ualimu waliopatiwa ajira awamu ya pili. Awamu ya pili ya ajira imejaza nafasi wazi zilizotokana na baadhi ya walimu kutoripoti katika vituo walivyopangwa katika ajira ya awali iliyotangazwa. 
Read more...
 
AJIRA YA WALIMU WA SHAHADA AWAMU YA PILI 2013
UPDATED LISTS OF NEW EMPLOYED TEACHERS SECOND PHASE

AWAMU YA PILI YA AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI MWAKA 2012/13

Walimu wote waliopewa ajira ya Ualimu Serikalini ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, wanatakiwa kuripoti tarehe 30 Aprili 2013
Read more...
 
AJIRA YA WALIMU WA STASHAHADA AWAMU YA PILI 2013
UPDATED LISTS OF NEW EMPLOYED TEACHERS SECOND PHASE

AWAMU YA PILI YA AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI MWAKA 2012/13

Walimu wote waliopewa ajira ya Ualimu Serikalini ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI,wanatakiwa kuripoti tarehe 30 Aprili 2013
Read more...
 
AJIRA YA WAKUFUNZI AWAMU YA PILI 2013
AWAMU YA PILI AJIRA MPYA YA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU NA SHULE ZA MAZOEZI MWAKA 2012/13

Walimu wote waliopewa ajira ya Ualimu Serikalini ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, wanatakiwa kuripoti tarehe 30 Aprili 2013 kwenye Ofisi za Wakuu wa Vyuo vya Ualimu
Read more...
 


Page 2 of 12

Jobs and Tenders


No Documents

Search School

Polls

How do you rate level of education in Tanzania
 
You are here  : Home