Ministry of Education and Vocational Training

Ministry of Education and Vocational Training
CUBA GOVERNMENT SCHOLARSHIP 2013/2014
  CUBA GOVERNMENT SCHOLARSHIP 2013/2014

Applications are invited from qualified Tanzanian for undergraduate degree programme tenable in the Republic of Cuba for the academic year 2013/2014.
Read more...
 
UFAFANUZI KUHUSU KUPITIWA UPYA KWA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2012

Mnamo tarehe 03 Mei, 2013 Serikali kupitia Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mheshimiwa Wiliam Lukuvi (Mb) ilitoa Kauli ya Serikali Bungeni Kuhusu Taarifa ya Awali ya Tume ya Taifa ya Kuchunguza Sababu za kushuka kwa ufaulu wa Mtihani wa Kidato cha Nne Mwaka 2012.
Read more...
 
HOTUBA YA MHE. DKT. SHUKURU J. KAWAMBWA (MB), WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
Hotuba ya Mhe. Dkt. Shukuru J. Kawambwa (MB), Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu maalum wa Tamongsco uliofanyika Aprili 30, 2013 katika ukumbi wa Benjamin W. Mkapa, soko matola, Mbeya.
Read more...
 
HOTUBA YA MGENI RASMI MHE. DKT. SHUKURU JUMANNE KAWAMBWA (MB), WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
 HOTUBA YA MGENI RASMI MHE. DKT. SHUKURU JUMANNE KAWAMBWA (MB), WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI KWENYE MAHAFALI YA 36 YA CHUO CHA UALIMU BUSTANI-KONDOA TAREHE 25 APRILI, 2013.
Read more...
 
  • «
  •  Start 
  •  Prev 
  •  1 
  •  2 
  •  3 
  •  4 
  •  5 
  •  6 
  •  7 
  •  8 
  •  9 
  •  10 
  •  Next 
  •  End 
  • »


Page 1 of 12

Jobs and Tenders


No Documents

Search School

Polls

How do you rate level of education in Tanzania
 
You are here  : Home