IDARA YA UTHIBITI UBORA WA SHULE

1.   MUUNDO WA UONGOZI WA UTHIBITI UBORA WA SHULE

Idara inaongozwa na Mkurugenzi wa Uthibiti Ubora wa Shule akisaidiana na Wakurugenzi Wasaidizi  wa Uthibiti Ubora wa Shulewa vitengo vitatu (03), ambavyo ni Kitengo cha Msingi,Sekondari na Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi.

2.   OFISI ZA UTHIBITI UBORA WA SHULE

Ofisi za Uthibiti Ubora wa Shule zipo katika Mikoa yote 26 ya Tanzania Bara na katika Halmashauri 184.

3.   MAJUKUMU YA IDARA YA UTHIBITI UBORA WA SHULE

a.   Kufanya  shughuli za Uthibiti Ubora wa Shule wa nje ya shule (external school quality assurance) ili kuona kama utoaji wa elimu katika ngazi zote husika unazingatia Sera, Sheria, Kanuni, Viwango, Taratibu na Miongozo iliyowekwa;
b.   Kufanya tathmini maalum ya usajili na kupendekeza kuhusu kusajiliwa au kutosajiliwa kwa shule za Awali, Msingi, Sekondari na vyuo vya Ualimu;
c.   Kufanya tathmini maalum/uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazojitokeza katika taasisi za Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari, Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya FDC na kutoa ushauri wa utekelezaji kwa wahusika wakuu;
d.   Kufuatilia na kutathmini ubora na utekelezaji wa mipango ya Uthibiti Ubora wa ndani  ya Shule katika ngazi ya Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari, Elimu Maalum, Elimu ya Watu Wazima  na Nje ya Mfumo rasmi, Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya FDC;
e.   Kumshauri Kamishna wa Elimu katika masuala yanayohusiana na Uendeshaji na Usimamizi wa Shule katika ngazi ya  Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari, Elimu Maalum, Elimu ya Watu Wazima na Nje ya Mfumo rasmi, Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya FDC;
f.    Kuandaa na kuwasilisha taarifa mbalimbali za Idara kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, pamoja na kutekeleza maagizo mbalimbali yanayotolewa na Katibu Mkuu.
g.   Kufanya tafiti tatuzi (action research) utakaosaidia kuboresha ufundishaji, usimamizi na uendeshaji wa Shule/Vyuo; na
h.   Kushirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania na Baraza la Mitihani  Tanzania ili  kuhakikisha kunakuwepo na  Elimu inayozingatia viwango bora katika ngazi zote za ElimuMsingi.
 
NA.MKOAHALMASHAURIANUANI YA POSTABARUA PEPE
1ArushaArusha JijiS.L.P 3013 Arushaarushacitysqa@moe.go.tz
2Arushahalmashauri ya Wilaya ya ArushaS.L.P 2025 Arushaarusharuralsqa@moe.go.tz
3ArushaKaratu Halmashauri Ya WilayaS.L.P 5 Karatukaratu@moe.go.tz
4ArushaLongido Halmashauri Ya WilayaS.L.P 61 Longidolongodo@moe.go.tz
5ArushaMeru Halmashauri Ya WilayaS.L.P 759 Usa Rivermerusqa@moe.go.tz
6ArushaMonduli Halmashauri Ya WilayaS.L.P 46 Mondulimondulisqa@moe.go.tz
7ArushaNgorongoro Halmashauri Ya WilayaS.L.P 91 Loliondongorongorosqa@moe.go.tz
8ManyaraBabati MjiS.L.P  569 Babatibabatiurbansqa@moe.go.tz
9ManyaraBabati Halmashauri Ya WilayaS.L.P 542 Babatibabatiruralsqa@moe.go.tz
10ManyaraHanang Halmashauri Ya WilayaS.L.P 72 Kateshhanangsqa@moe.go.tz
11ManyaraKiteto Halmashauri Ya WilayaS.L.P 94 Kibaya - Kitetokitetosqa@moe.go.tz
12ManyaraMbulu  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 154 Mbulumbuluuralsqa@moe.go.tz
13ManyaraMbulu MjiS.L.P 154 Mbulumanyararural@moe.go.tz
150ShinyangaKahama ManispaaS.L.P 402 Kahamakahamatcsqa@moe.go.tz
14ManyaraSimanjiro Halmashauri Ya WilayaS.L.P 9501 Orkesumet Sumanjirosimanjirosqa@moe.go.tz
15IringaIringa ManispaaS.L.P 1355 Iringairingarural@moe.go.tz
16IringaIringa  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 984 Iringairingasqa@moe.go.tz
17IringaKilolo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 2344 Kilolokiloloa@moe.go.tz
18IringaMafinga MjiS.L.P 520 Mafingairingarural@moe.go.tz
19IringaMufindi Halmashauri Ya WilayaS.L.P 264 Mafingamufindiqa@moe.go.tz
20NjombeNjombe MjiS.L.P  313 Njombenjomberural@moe.go.tz
147ShinyangaKishapu HalmasahuriS.L.P 16 Kishapu kishapusqa@moe.go.tz
21NjombeNjombe  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 246 Njombenjombeubarn@moe.go.tz
22NjombeMakambako MjiS.L.P 1153 Makambakomakambakosqa@moe.go.tz
23NjombeWanging’ombe Halmashauri Ya WilayaS.L.P 584 Njombewangingombesqa@moe.go.tz
24NjombeMakete Halmashauri Ya WilayaS.L.P  45 Maketemaketesqa@moe.go.tz
25NjombeLudewa Halmashauri Ya WilayaS.L.P 47 Ludewaludewasqa@moe.go.tz
26RuvumaSongea ManispaaS.L.P  153 Songeasongearuralsqa@moe.go.tz
27RuvumaMadaba Halmashauri Ya WilayaS.L.P 2 Madabamadabasqa@moe.go.tz
28RuvumaSongea  Halmashauri Ya Wilaya S.L.P 801 Songeasongeaubarnsqa@moe.go.tz
29RuvumaMbinga MjiS.L.P 165 Mbingambingaurbansqa@moe.go.tz
30RuvumaMbinga  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 312 Mbingambingasqa@moe.go.tz
31RuvumaNyasa Halmashauri Ya WilayaS.L.P 90 Mbamba Baynyasasqa@moe.go.tz
32RuvumaNamtumbo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 55 Namtumbonamtumbosqa@moe.go.tz
33RuvumaTunduru Halmashauri Ya WilayaS.L.P 135 Tundurutundurusqa@moe.go.tz
34MtwaraMtwara MCS.L. P 648,  Mtwaramtwararuralsqa@moe.go.tz
35MtwaraMtwara DCS.L. P 615,  Mtwaramtwaraurbansqa@moe.go.tz
36MtwaraMasasi TCS.L.P 130 Masasimasasiruralsqa@moe.go.tz
37MtwaraMasasi DCS.L.P  20, Masasimasasiurbansqa@moe.go.tz
38MtwaraNewala TCS.L.P 186 Newalanewalaurbansqa@moe.go.tz
39MtwaraNewala DCS.L.P  186 Newalanewalasqa@moe.go.tz
40MtwaraNanyumbu S.L.P 39, Masasinanyumbusqa@moe.go.tz
41MtwaraNanyambaS.L.P  619, Mtwarananyambasqa@moe.go.tz
152ShinyangaUshetu Halmashauri Ya WilayaS.L.P 64 Kahamaushetusqa@moe.go.tz
42MtwaraTandahimbaS.L.P 44, Tandahimbatandahimbasqa@moe.go.tz
43LindiLindi ManispaaS .L .P   564 Lindilindirural@moe.go.tz
44LindiNachingweaS .L .P   251  Nachingweanachingweasqa@moe.go.tz
45LindiLiwale S .L .P   106  Liwaleliwalesqa@moe.go.tz
46LindiKilwaS .L .P    97    Kilwakilosasqa@moe.go.tz
47LindiMtamaS . L .P  561   Lindimtamasqa@moe.go.tz
156SimiyuItilima HalamsahuriS.L.P 455 Bariadiitilimasqa@moe.go.tz
48LindiRuangwa S .L .P     61    Mtamaruangwasqa@moe.go.tz
49MwanzaKwimba Halmashauri Ya WilayaS.L.P 30 Ngudu -Kwimbakwimbaqa@moe.go.tz
50MwanzaBuchosa  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 331 Sengeremabuchosasqa@moe.go.tz
51MwanzaMagu Halmashauri Ya WilayaS.L.P 182 Magumagusqa@moe.go.tz
52MwanzaMisungwi Halmashauri Ya WilayaS.L.P 82 Misungwimisungwiruralsqa@moe.go.tz
53MwanzaNyamagana Halmashauri Ya WilayaS.L.P 1333 Mwanzanyamaganasqa@moe.go.tz
54MwanzaIlemela Halmashauri Ya WilayaS.L.P 11644 Ilemelailemelaruralsqa@moe.go.tz
55MwanzaUkerewe Halmashauri Ya WilayaS.L.P 234 Nansio - Ukereweukerewessqa@moe.go.tz
56MwanzaSengerema HalmashauriS.L.P 229 Sengeremasengeremasqa@moe.go.tz
57MaraBunda  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 255 Bundabundasqa@moe.go.tz
58MaraBunda MjiS.L.P 255 Bundabundatcsqa@moe.go.tz
59MaraButiama Halmashauri Ya WilayaS.L.P 806 Butiamabutiamauralsqa@moe.go.tz
60MaraMusoma ManispaaS.L.P 194 Musomamusomaruralsqa@moe.go.tz
61MaraMusoma  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 438 Musomamusomaurbansqa@moe.go.tz
62MaraRorya Halmashauri Ya WilayaS.L.P 65 Tarime- Roryaroryaqa@moe.go.tz
63MaraSerengeti Halmashauri Ya WilayaS.L.P 66 Mugumu - Serengetiserengetisqa@moe.go.tz
64MaraTarime MjiS.L.P 188 Tarimetarimeruralsqa@moe.go.tz
151ShinyangaMsalala Halmashauri Ya WilayaS.L.P 123 Kahamamsalalasqa@moe.go.tz
65MaraTarime  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 188 Tarimetarimesqa@moe.go.tz
66GeitaGeita MjiS.L.P 127 Geitageitaruralsqa@moe.go.tz
68GeitaChato Halmashauri Ya WilayaS.L.P 147 Chatochatosqa@moe.go.tz
69GeitaMbogwe Halmashauri Ya Wilaya30404 S.L.P  14 Mbogwembogweqa@moe.go.tz
67GeitaGeita  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 17 Geita  geitaurbansqa@moe.go.tz
70GeitaBukombe Halmashauri Ya WilayaS.L.P  53 Bukombebukombesqa@moe.go.tz
71GeitaNyang’hwale Halmashauri Ya WilayaS.L.P 388 Geitanyangwalesqa@moe.go.tz
72MbeyaMbeya JijiS.L.P 1158 Mbeyambeyacitysqa@moe.go.tz
73MbeyaMbeya  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 401 Mbeya mbeyaruralsqa@moe.go.tz
74MbeyaChunya Halmashauri Ya WilayaS.L.P 18 Chunyachunyasqa@moe.go.tz
75MbeyaMbarali Halmashauri Ya WilayaS.L.P 210 Rujewa - Mbaralimbaralisqa@moe.go.tz
148ShinyangaShinyanga   Halmashauri Ya WilayaS.L.P 384 Shinyangamsalalasqa@moe.go.tz
76MbeyaRungwe Halmashauri Ya WilayaS.L.P 250 Tukuyurungwea@moe.go.tz
77MbeyaBusokelo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 250 Tukuyubusokelourbansqa@moe.go.tz
78MbeyaKyela Halmashauri Ya WilayaS.L.P 23 Kyelakyelaruralsqa@moe.go.tz
79RukwaKalambo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 03 Matai - Kalambokalambosqa@moe.go.tz
80RukwaSumbawanga  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 322 Sumbawangasumbawangasqa@moe.go.tz
81RukwaSumbawanga ManispaaS.L.P 717 Sumbawangasumbawangaruralsqa@moe.go.tz
82RukwaNkasi HalmasahuriS.L.P 103 Namanyere - Nkasinkasisqa@moe.go.tz
83KataviMlele HalmasahuriS.L.P 686 Mlele mlelesqa@moe.go.tz
84KataviMpimbweS.L.P 319 Mpandampimbwesqa@moe.go.tz
85KataviNsimboS.L.P 519 Mpandansimbosqa@moe.go.tz
86KataviMpanda ManispaaS.L.P 322 Sumbawangampandaruralsqa@moe.go.tz
87KataviTanganyika  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 213 Mpandampandaurbansqa@moe.go.tz
88TangaBumbuli HalmasahuriS.L.P 122 Bumbulibumbulisqa@moe.go.tz
89TangaHandeni MjiS.L.P  378 Handenihandeniurbansqa@moe.go.tz
90TangaHandeni  Halmashauri Ya WilayaS.L.P  378 Handenihandeniruralsqa@moe.go.tz
91TangaKilindi Halmashauri Ya WilayaS.L.P 13 Songekilindisqa@moe.go.tz
92TangaKorogwe MjiS.L.P 513 Korogwekorogweruralsqa@moe.go.tz
93TangaKorogwe  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 460 Korogwekorogwesqa@moe.go.tz
94TangaLushoto HalmasahuriS.L.P 256 Lushotolushotosqa@moe.go.tz
95TangaMkinga Halmashauri Ya WilayaS.L.P 1347 Tangamkingasqa@moe.go.tz
96TangaMuheza HalmasahuriS.L.P 456 Muhezamuhezasqa@moe.go.tz
97TangaPangani Halmashauri Ya WilayaS.L.P 99 Panganipanganisqa@moe.go.tz
98TangaTanga JijiS.L.P 1963 Tangatangacitysqa@moe.go.tz
99KilimanjaroHai Halmashauri Ya WilayaS.L.P 11 Haihaisqa@moe.go.tz
100KilimanjaroMoshi ManispaaS.L.P 8049 Moshimoshiurbansqa@moe.go.tz
101KilimanjaroMoshi  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 812 Moshimoshiruralsqa@moe.go.tz
102KilimanjaroMwanga Halmashauri Ya WilayaS.L.P 52 Mwangamwangasqa@moe.go.tz
103KilimanjaroRombo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 67 Romborombosqa@moe.go.tz
146TaboraIgunga Halmashauri Ya WilayaS.L.P 125 Igungaigungasqa@moe.go.tz
104KilimanjaroSiha Halmashauri Ya WilayaS.L.P 129 Sihasihasqa@moe.go.tz
105KilimanjaroSame Halmashauri Ya WilayaS.L.P 128 Samesamesqa@moe.go.tz
106SingidaIramba Halmashauri Ya WilayaS.L.P  140 Kiomboiirambasqa@moe.go.tz
107SingidaMkalama HalmasahuriS.L.P  633 Singidamkalamasqa@moe.go.tz
108SingidaSingida  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 804 Singidasingidaurbansqa@moe.go.tz
109SingidaSingida ManispaaS.L.P 154 Singidasingidaruralsqa@moe.go.tz
110SingidaIkungi HalamsahuriS.L.P 42 Singidaikungisqa@moe.go.tz
111SingidaItigi Halmashauri Ya WilayaS.L.P 144 Itigiitigisqa@moe.go.tz
112SingidaManyoni Halmashauri Ya WilayaS.L.P 190 Manyonimanyonisqa@moe.go.tz
113DodomaDodoma JijiS.L.P 2782 Dodomadodomacitysqa@moe.go.tz
122MorogoroMorogoro DCS.L.P 1135 Morogoro DCmorogorourbansqa@moe.go.tz
114DodomaBahi Halmashauri Ya WilayaS.L.P 1882 Bahibahisqa@moe.go.tz
115DodomaChemba Halmashauri Ya WilayaS.L.P 300 Chembachembasqa@moe.go.tz
116DodomaKondoa MjiS.L.P 111 Kondoakondoaurbansqa@moe.go.tz
117DodomaKondoa  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 422 Kondoakondoasqa@moe.go.tz
118DodomaKongwa Halmashauri Ya WilayaS.L.P  138 Kongwakongwasqa@moe.go.tz
154SimiyuBariadi    Halmashauri Ya WilayaS.L.P 221 Bariadibariaditcsqa@moe.go.tz
155SimiyuBusega Halmashauri Ya WilayaS.L.P 157 Busegabusegasqa@moe.go.tz
149ShinyangaShinyanga ManispaaS.L.P 585 Shinyangashinyangaurbansqa@moe.go.tz
119DodomaMpwapwa Halmashauri Ya WilayaS.L.P 162 Mpwapwampwapwasqa@moe.go.tz
120DodomaChamwino Halmashauri Ya WilayaS.L.P 1960 Dodomachamwinosqa@moe.go.tz
121MorogoroMorogoro MCS.L.P 1135 Morogoro MCmorogorourbansqa@moe.go.tz
123MorogoroIfakara TCS.L.P 305 Ifakara TCifakarasqa@moe.go.tz
124MorogoroMlimbaS.L.P 253 Mlimba DC, Ifakaramlimbasqa@moe.go.tz
125MorogoroKilosaS.L.P 196, Kilosaifakarasqa@moe.go.tz
126MorogoroGairoS.L.P 28, Gairogairosqa@moe.go.tz
127MorogoroMalinyiS.L.P 69, Malinyimalinyisqa@moe.go.tz
128MorogoroUlangaS.L.P 144, Mahenge, Ulangaulangasqa@moe.go.tz
153SimiyuBariadi  MjiS.L.P 266 Bariadibariadiurbansqa@moe.go.tz
129MorogoroMvomeroS.L.P 53, Mvomeromvomerosqa@moe.go.tz
130PwaniKibiti Halmashauri Ya WilayaS.L.P 33 Kibitikibitisqa@moe.go.tz
131PwaniBagamoyoS.L.P 31 Bagamoyobagamoyosqa@moe.go.tz
132PwaniChalinze Halmashauri Ya WilayaS.L.P  13 Chalinzechalinzesqa@moe.go.tz
133PwaniKibaha MjiS.L.P 30140 Kibahakibaharuralsqa@moe.go.tz
134PwaniKisaraweS.L.P 28076 Kisarawekisarawesqa@moe.go.tz
135PwaniKibaha  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 30374 Kibahakibahatcsqa@moe.go.tz
136PwaniMkuranga Halmashauri Ya WilayaS.L.P 25 Mkurangamkurangasqa@moe.go.tz
137PwaniRufiji Halmashauri Ya WilayaS.L.P 44 Uteterufijisqa@moe.go.tz
138PwaniMafia Halmashauri Ya WilayaS.L.P 100 Mafiamafiasqa@moe.go.tz
139TaboraKaliua Halmashauri Ya WilayaS.L.P 83 Taborakaliuasqa@moe.go.tz
140TaboraUrambo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 297 Urambourambosqa@moe.go.tz
141TaboraSikonge Halmashauri Ya WilayaS.L.P 17 Sikongesikongesqa@moe.go.tz
142TaboraTabora ManispaaS.L.P 1569 Taborataboraurbansqa@moe.go.tz
143TaboraUyui Halmashauri Ya WilayaS.L.P 1715 Taborauyuisqa@moe.go.tz
144TaboraNzega   Halmashauri Ya WilayaS.L.P 76 Nzeganzegasqa@moe.go.tz
145TaboraNzega  MjiS.L.P 387 Nzeganzegatcsqa@moe.go.tz
157SimiyuMaswa Halmashauri Ya WilayaS.L.P 237 Maswamaswasqa@moe.go.tz
158SimiyuMeatu Halmashauri Ya WilayaS.L.P 6 Meatumeatusqa@moe.go.tz
159DsmIlala ManispaaS.L.P 7467          Dsmilalasqa@moe.go.tz
160DsmKigamboni ManispaaS.L.P 9403          Dsmkigambonisqa@moe.go.tz
161DsmTemeke ManispaaS.L.P 42013       Dsmtemekesqa@moe.go.tz
162DsmUbungo ManispaaS.L.P 2656         Dsmubungosqa@moe.go.tz
163DsmKinondoni ManispaaS.L.P 71669        Dsmkinondonisqa@moe.go.tz
164KigomaKigoma ManispaaS.L.P 1057 Kigomakigomaurbansqa@moe.go.tz
165KigomaKigoma  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 234   Kigomakigomaruralsqa@moe.go.tz
166KigomaKasulu  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 97 Kasulukasulutcsqa@moe.go.tz
167KigomaKasulu MjiS.L.P 29 Kasulukasulururalsqa@moe.go.tz
168KigomaKakonko Halmashauri Ya WilayaS.L.P 98 Kakonkokakonkosqa@moe.go.tz
169KigomaUvinza Halmashauri Ya WilayaS.L.P 26 Uvinzauvinzasqa@moe.go.tz
170KigomaBuhigwe Halmashauri Ya WilayaS.L.P 443 Buhigwebuhigwesqa@moe.go.tz
171KigomaKibondo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 14 Kbondokibondosqa@moe.go.tz
172KageraBiharamulo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 35 Biharamulobiharamulosqa@moe.go.tz
173KageraMuleba Halmashauri Ya WilayaS.L.P 123 Mulebamulebasqa@moe.go.tz
174KageraKaragwe Halmashauri Ya WilayaS.L.P  70 Karagwekaragwesqa@moe.go.tz
175KageraNgara Halmashauri Ya WilayaS.L.P 15 Ngarangarasqa@moe.go.tz
176KageraMissenyi Halmashauri Ya WilayaS.L.P 38 Kyakamisenyisqa@moe.go.tz
177KageraKyerwa Halmashauri ya WilayaS.L.P 329 Kyerwakyerwaurbansqa@moe.go.tz
178KageraBukoba  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 1793 Bukobabukobaruralsqa@moe.go.tz
179KageraBukoba ManispaaS.L.P 1796 Bukobabukobaurbansqa@moe.go.tz
180SongweIleje Halmashauri Ya WilayaS.L.P 10 Ilejeilejesqa@moe.go.tz
181SongweMbozi HamashauriS.L.P 512 Mbozimbozisqa@moe.go.tz
182SongweSongwe Halmashauri Ya WilayaS.L.P 104 Songwesongwesqa@moe.go.tz
183SongweTunduma Mji S.P.L 12 Tundumatundumatcsqa@moe.go.tz
184SongweMomba Halmashauri Ya WilayaS.L.P 264  Mombamombasqa@moe.go.tz
185DODOMAWizara ya ElimuS.L.P. 10 DODOMAmus@moe.go.tz (HQ)
 

MIONGOZO

KIUNZI CHA UTHIBITI UBORA WA SHULE

MWONGOZO WA UTHIBITI UBORA WA SHULE