WAZIRI NDALICHAKO AZINDUA KAZI YA USAMBAZAJI WA VITABU VYA KIADA VYA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI

Published on Friday 15 October, 2021 23:50:25

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako (Mb) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  kazi ya usambazaji wa vitabu vya kiada vya shule ya msingi na sekondari vitakavyosambazwa katika halmashauri zote nchini.
Kulia nia Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo na kushoto ni Gerald Mweli Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI.

Read 304 times

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Government City
  • Mtumba Area - Afya Street
  •               P.O.Box 10
  •               40479 Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    info@moe.go.tz
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top