Taarifa kwa Umma: Kwa wale wenye maswali kuhusu wanachuo 7,805 wa UDOM

Published on Thursday 21 July, 2016 14:49:00

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia hivi karibuni ilitoa uamuzi kuhusu wanachuo 7,805 waliokuwa wanasoma stashahada maalum ya ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma.


Baada ya kutolewa kwa uamuzi huo kumekuwa na maswali mengi ambayo yamekuwa yakiulizwa mara kwa mara kufuatia uamuzi huo. Hivyo Wizara inawataarifu wale wote wenye maswali ama wanaotaka ufafanuzi wawasiliane na Wizara kwa kutumia namba 0784307462 au barua pepe  info@moe.go.tz

Imetolewa na:

Katibu Mkuu

Read 4378 times

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Government City
  • Mtumba Area - Afya Street
  •               P.O.Box 10
  •               40479 Dodoma
  • Tel:        +255 26 216 0270               
  •                +255 737 962 965
  • Email:    info@moe.go.tz
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top