RAIS WA SKAUTI TANZANIA ATANGAZA MAJINA YA WALIOPENDEKEZWA NAFASI YA SKAUTI MKUU
Published on Monday 04 July, 2022 11:32:57
Wagombea watatu wa Skauti Mkuu Tanzania waliopendekezwa katika Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama cha Skauti Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kulia ni Rashid Mchata, Nehemia Mchechu na Aron Kagulumjuli.
Read
268
times