MWONGOZO WA VIWANGO NA UENDESHAJI ELIMU YA AWALI MBIONI KUTOLEWA
Published on Tuesday 18 January, 2022 23:43:41
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe akisisitiza jambo wakati akiongea na wadau (hawapo pichani) wa elimu kwenye kikao cha kujadili nyaraka mbalimbali zilizoandaliwa na Wizara jijini Dodoma, kwa lengo la kutoa maoni na mapendekezo
Read
623
times