MAPOKEZI YA OUNGOZI MPYA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Published on Monday 10 January, 2022 16:45:59
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda (katikati) akizungumza na Menejimenti ya Wizara hiyo (hawapo pichani) mara baada ya kupokelewa na watumishi wa Wizara hiyo Januari 10, 2022.
Read
348
times