Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda (mbele katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Wizara hiyo mara baada ya kupokelewa na watumishi wa Wizara hiyo (hawapo pichani). Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Eliamani Sedoyeka ambaye naye pia alipokelewa siku hiyo.