MAAFISA HABARI WA WIZARA YA ELIMU NA TAASISI ZAKE WASHIRIKI KIKAO CHA 18 CHA MAAFISA HAO JIJINI DAR ES SALAAM

Published on Wednesday 29 March, 2023 10:19:45

Maafisa Habari wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Taasisi zake wameshiriki kikao cha 18 cha maafisa habari na mawasiliano wa Serikali chenye lengo la kuwajengea uwezo wa kuwasiliana kimkakati na kuwa injini ya maendeleo.

Kikao kazi hicho kimefunguliwa leo Machi 27, 2023 jijini Dar es Salaam  na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa.

Kauli mbiu ya kikao kazi hicho ni "Mawasiliano ya Kimkakati injini ya Maendeleo."

Read 725 times

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Government City
  • Mtumba Area - Afya Street
  •               P.O.Box 10
  •               40479 Dodoma
  • Tel:        +255 26 216 0270               
  •                +255 737 962 965
  • Email:    info@moe.go.tz
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top