Mwenyekiti wa Utekelezaju wa Mradi wa EASTRIP Dkt. Erick Mgaya akimuonyesha Naibu Katibu Mkuu Prof. Carolyne Nombo baadhi ya majengo ya Kituo cha Umahiri cha Nishati Jadidifu yaliyokarabatiwa ili kuwezesha wanafunzi kupata mafunzo. Kituo hicho kilichopo wilayani Hai kipo chini ya Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)