Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo akitoa maelekezo kwa baadhi ya Viongozi wa Chuo cha Ufundi Arusha wakati alipotembelea vyanzo vya maji vinavyotumika kuzalisha umeme katika Kituo cha Umahiri cha Mafunzo ya Nishati Jadidifu kilichopo wilayani Hai.