KITUO CHA UMAHIRI CHA MAFUNZO YA NISHATI JADIDIFU CHUO CHA UFUNDI ARUSHA KUJENGWA UPYA
Published on Tuesday 25 January, 2022 06:34:55
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo akipata maelezo ya namna mitambo ya kuzalisha umeme inavyofanya kazi wakati alipotembelea Kituo cha Umahiri cha Mafunzo ya Nishati Jadidifu kilichopo wilayani Hai.
Read
972
times