KIKAO CHA MAAFISA MAWASILIANO WA WIZARA NA TAASISI CHINI YA WIZARA

Published on Tuesday 16 November, 2021 22:21:59

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya Wizara (hawapo pichani) kinachofanyika mkoani Morogoro.

Read 682 times

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Government City
  • Mtumba Area - Afya Street
  •               P.O.Box 10
  •               40479 Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    info@moe.go.tz
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
Tanzania Census 2022