FEDHA ZA MIRADI SEKTA YA ELIMU KUTUMIKA KATIKA KAZI ZILIZOPANGWA

Published on Wednesday 29 September, 2021 17:37:24

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia  Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza katika kikao cha pamoja kati ya Viongozi wa Wizara na Ujumbe wa Benki ya Dunia (hawapo pichani) ulioongozwa na Makamu wa Rais wa Benki hiyo Dkt. Hafez Ghanem. Kikao hicho kimefanyika Jijini Dar es Salaam ambapo wamejadili utekelezaji wa miradi ya sekta ya elimu inayofadhiliwa na Benki hiyo.

Read 406 times

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Government City
  • Mtumba Area - Afya Street
  •               P.O.Box 10
  •               40479 Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    info@moe.go.tz
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top