Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) akiwa katika kikao na Mwakilishi kutoka Benki ya Dunia (WB), Dkt. Xiaoyan Liang - Senior Education Specialist pamoja na Waratibu wa miradi inayofadhiliwa na Benki hiyo.
Published on Monday 25 April, 2022 09:54:09