WAZIRI MKUU MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA VETA BUHIGWE
Published on Saturday 18 September, 2021 08:08:03
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) akioneshwa namna Chuo cha Ufundi Stadi cha Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma kitakavyokuwa baada ya ujenzi kukamilika
Read
1041
times