WAZIRI MKUU MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA VETA BUHIGWE

Published on Saturday 18 September, 2021 08:08:03

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) na Viongozi wengine wa Serikali wakisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) alipofika katika Wilaya Buhigwe Mkoani Kigoma kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha Ufundi na Mafunzo ya ufundi Stadi cha wialay hiyo.

Read 923 times

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Government City
  • Mtumba Area - Afya Street
  •               P.O.Box 10
  •               40479 Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    info@moe.go.tz
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
Tanzania Census 2022