WAZIRI MKENDA ATEMBELEA TAASISI YA TEKNOLOJIA NA UBUNIFU CHUO KIKUU NORTHANMPTON-UINGEREZA
Published on Wednesday 25 May, 2022 21:04:19
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) akiwa kwenye Taasisi inayojishughulisha na Teknolojia na ubunifu wa mazao yatokanayo na ngozi ya Chuo Kikuu cha Northampton nchini Uingereza.
Read
263
times