WAZIRI MKENDA ATAKA WAKUU WA SHULE KUTOJIINGIZA KWENYE UDANGANYIFU WA MITIHANI
Published on Thursday 15 December, 2022 10:36:40
Baadhi ya Wakuu wa Shule za Serikali na Binafsi wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 17 Umoja wa Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSA) unaofanyika jijini Dodoma
Read
275
times