Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, Kamishna wa Maadili Jaji Mhe. Sivangilwa Mwangesi, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu walioapishwa Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.