Tangazo: Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma mwaka 2016

Published on Wednesday 22 June, 2016 14:58:00

Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Mwaka 2016 yalianza  tarehe 16 Juni na yatafikia kilele tarehe 23 Juni.

 Kwa mwaka huu 2015/16 imeamuliwa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yafanyike kwa utaratibu ufuatao:

  1. Tarehe 22/06/2016 kuanzia Saa 7:00 hadi 9:00 mchana watumishi wote wenye matatizo sugu yanayowakabili wafike Ofisini kwa Katibu Mkuu au Naibu Katibu Mkuu (S) kueleza matatizo yao ili yaweze kushughulikiwa.
  2. Tarehe 23/06/2016 kuanzia Saa 5:00 asubuhi hadi Saa 9:00 mchana wateja wenye kero wafike Ofisini kwa Katibu Mkuu au Naibu Katibu Mkuu (S) ili waweze kusikilizwa kero zao.


                                                                 UTAWALA
                                                                 21/06/2016      

          

Read 8766 times

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Government City
  • Mtumba Area - Afya Street
  •               P.O.Box 10
  •               40479 Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    info@moe.go.tz
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
Tanzania Census 2022