TAHLISO, ZAHLIFE WAPONGEZA WIZARA YA ELIMU KWA HUDUMA BORA
Published on Tuesday 29 November, 2022 08:19:58
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya ya wanafunzi wa Taasisi ya Elimu ya Juu (TAHLISO) na (ZAHILFE) mara baada ya kumaliza kikao cha pamoja kilichofanyika jijini Dodoma
Read
292
times