SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA CHAKULA NA LISHE KWA WANAFUNZI WA ELIMUMSINGI

Published on Sunday 31 October, 2021 01:01:00

Baadhi ya watu walioshiriki katika uzinduzi wa Mwongozo wa Kitaifa wa Utoaji wa Huduma ya Chakula na Lishe kwa Wanafunzi wa Elimumsingi wakimsikiliza mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Kwilapo (hayupo pichani). Uzinduzi huo umefanyika Oktoba 29, 2021 Jijini Dodoma.

Read 206 times

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Government City
  • Mtumba Area - Afya Street
  •               P.O.Box 10
  •               40479 Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    info@moe.go.tz
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top